Mention someone without any reason just to disturb them

Nimegoma kufungua, ukate tamaa hapa hapa kwa comments.

Na ukiendelea kunisumbua kuhusu hilo nitakushtaki kwa mods.
Hahaha nipo tayari kushtakiwa jirani...

Nipo tayari hata kwenda jela...

Lakini pm yako nije tena Kwa mbwembwe... Nitakata umeme kama Tanesco ila sitaka tamaa...
 
Nimegoma kufungua, ukate tamaa hapa hapa kwa comments.

Na ukiendelea kunisumbua kuhusu hilo nitakushtaki kwa mods.
Adam na Hawa wangeweza kukatiana tamaa, nami ningekata tamaa...
 
Hahaha nipo tayari kushtakiwa jirani...

Nipo tayari hata kwenda jela...

Lakini pm yako nije tena Kwa mbwembwe... Nitakata umeme kama Tanesco ila sitaka tamaa...
Hahaa sema suuuu nikushitaki

Bahati yako tu wewe jirani yangu, nimekusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…