Mention someone without any reason just to disturb them

Hahahaa no wonder unaenda kila siku jirani, kumbe ndio moja ya faida zake hizi.
Na mimi si unipeleke
Wewe muoga Jirani alafu hupendi kuchoka, utanipa faida ya kukubeba Jirani...
 
Lakini SI unajua sharti la kula Jirani...

Ukila na wewe sharti... Malizia mwenyewe....
Uliweeeee πŸ˜‚

Lakini jirani me sijakuomba hizo apple, umejipendekeza mwenyewe kwahiyo hiyo ya kuliwa haiapply hapo
 
Uliweeeee πŸ˜‚

Lakini jirani me sijakuomba hizo apple, umejipendekeza mwenyewe kwahiyo hiyo ya kuliwa haiapply hapo
Uwaa Jirani, ila mimi sitakukula...

Nitakutazama tu, hata ukinipa nitakataa embu jaribu uone Jirani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…