Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Lakini SI unajua sharti la kula Jirani...

Ukila na wewe sharti... Malizia mwenyewe....
Uliweeeee 😂

Lakini jirani me sijakuomba hizo apple, umejipendekeza mwenyewe kwahiyo hiyo ya kuliwa haiapply hapo
 
Uliweeeee 😂

Lakini jirani me sijakuomba hizo apple, umejipendekeza mwenyewe kwahiyo hiyo ya kuliwa haiapply hapo
Uwaa Jirani, ila mimi sitakukula...

Nitakutazama tu, hata ukinipa nitakataa embu jaribu uone Jirani....
 
Back
Top Bottom