Mention someone without any reason just to disturb them

Emu niimbie vizuri, si unajua me ndio dada mkuu.

Ukinifurahisha Serengeti unapelekwa J3
Mabata madogo dogo yanaogeleaaa
Katika shamba zuriii la bustaniiii

Yanapenda kutembea bila viatu
Bilaaaaa
Bila viatu
Bilaaaaaa

Yanapenda kuliaaa
Kwaaa kwaaaa kwaaaaa
 
Mabata madogo dogo yanaogeleaaa
Katika shamba zuriii la bustaniiii

Yanapenda kutembea bila viatu
Bilaaaaa
Bila viatu
Bilaaaaaa

Yanapenda kuliaaa
Kwaaa kwaaaa kwaaaaa
🀣🀣🀣

Nimezoea nyimbo za kidhungu mieeee na kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…