Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Kichwa changu hakina ubongo jirani...Maana nini jirani, em malizia basi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa changu hakina ubongo jirani...Maana nini jirani, em malizia basi...
Jirani me akili zangu hazina akili so tumekutanaKichwa changu hakina ubongo jirani...
Endeleeni nawafatilia kwa Karibu[emoji2]Jirani me akili zangu hazina akili so tumekutana
Embu fanya tugusanishe hasi na chanya alafu tuone...Jirani me akili zangu hazina akili so tumekutana
Karibu sana, tupo live usikae mbali na tv yakoEndeleeni nawafatilia kwa Karibu[emoji2]
Hahaha jirani nenda kaleEmbu fanya tugusanishe hasi na chanya alafu tuone...
Jirani uwe chakula changu...Hahaha jirani nenda kale
Jirani utanikula vipi mimi, si utakua vempayaJirani uwe chakula changu...
Na iwe hivyo jirani...Jirani utanikula vipi mimi, si utakua vempaya
Umeshiba chai sasa unaanza usumbufu🤣🤣🤣
TuliaaaaUmeshiba chai sasa unaanza usumbufu🤣🤣🤣
Emu niimbie vizuri, si unajua me ndio dada mkuu.Tuliaaaa
Nimeambiwa nikuimbie ndo nipate hela ya kwenda Serengeti
Mabata madogo dogo yanaogeleaaaEmu niimbie vizuri, si unajua me ndio dada mkuu.
Ukinifurahisha Serengeti unapelekwa J3
🤣🤣🤣Mabata madogo dogo yanaogeleaaa
Katika shamba zuriii la bustaniiii
Yanapenda kutembea bila viatu
Bilaaaaa
Bila viatu
Bilaaaaaa
Yanapenda kuliaaa
Kwaaa kwaaaa kwaaaaa
😂😂😂 nipe ile dedix🤣🤣🤣
Nimezoea nyimbo za kidhungu mieeee na kaka
😂😂😂😂 penzi limejaaa wiiziiiMtumie hyo 🤣🤣
View attachment 2455766
Amekataa kuibiwa 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 penzi limejaaa wiiziii
Dada mwiziiiii
Jamaaa hapendi wiziiiii
Unaibaje kilaini hivo na jua kali hili 🤣🤣Amekataa kuibiwa 🤣🤣🤣🤣