Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Yaani unantambia kwamba nitadangika tu, halafu hapo hapo unaniuliza kama usubirie hadi FEB..!! WANAUME TUMEUMBWA, MATESOOOO MATESOOO, KUHANGAIKAShule zimeshafunguliwa. Nilitaka kuwapitia watoto niende nao beacha basi. Wee utadangika tu, kwahiyo nisubirie hadi Feb πππππ
MASIKINI MIMI NIPO RESERVE..!!Subiri kidogo...kuna new bae in town hapa nipo nazurura nae around... Likipoa nakurudiaπ
ππππaiseeMASIKINI MIMI NIPO RESERVE..!!
KWAHIYO, UNATAKA HAPO February UMDANGIE KAKAAKO..!!??To yeye unamfanyia hivyo kaka yangu wewe eeeh? Shauri yako, wee pishana na gari la mshahara tu
πππutaelewa tu...mdogomdogoKWAHIYO, UNATAKA HAPO February UMDANGIE KAKAAKO..!!??
Weweee..!! To yeye ni bora ulie kwenye VOGUE kulko kuwa na furaha kwenye BAJAJ nikwambie..!! Hayaπ³Bora lipite tu....ana dharau na masinglemom asikwambie MTUπ
Niachie mimi hiyo kazi, nammudu nitamnyoosha hutosikia tena hizo dharau love.π³Bora lipite tu....ana dharau na masinglemom asikwambie MTUπ
Jamani ID naanza kuziogopa..!!Isije ikawa najibishana na the same person..!!πππutaelewa tu...mdogomdogo
πnoo,usiangaike kipenz,huyu mwache iviivi ogo lake likaukeNiachie mimi hiyo kazi, nammudu nitamnyoosha hutosikia tena hizo dharau love.
πππππΆπΆπΆπΆ hapana...tulia hapohapoJamani ID naanza kuziogopa..!!Isije ikawa najibishana na the same person..!!
Sawa natulia na wala USINTINGISHE..!! Sema nini, isije ikaja Februei nakutana na To yeye na Bantu Lady kumbe ni mtu mmoja mi sijui..!! Embu Depal Laswai nifanyie uchunguziπππππΆπΆπΆπΆ hapana...tulia hapohapo
Hapana,mi ni wa unyakyusani huko.....usitie shaka.Sawa natulia na wala USINTINGISHE..!! Sema nini, isije ikaja Februei nakutana na To yeye na Bantu Lady kumbe ni mtu mmoja mi sijui..!! Embu Depal Laswai nifanyie uchunguzi
Hatuachaniiii...πMtaachana tu ππ
Unaona sasa..!! PanandipanandiHapana,mi ni wa unyakyusani huko.....usitie shaka.
ππππ unakutana na BL kwenye kimvuli cha To YeyeSawa natulia na wala USINTINGISHE..!! Sema nini, isije ikaja Februei nakutana na To yeye na Bantu Lady kumbe ni mtu mmoja mi sijui..!! Embu Depal Laswai nifanyie uchunguzi
Mi kwa kusubiri ndo mwenyewe..!! Hapa namsubiri To yeye pia ila nimemwambia ASINTINGISHEππππ unakutana na BL kwenye kimvuli cha To Yeye
Subiri niingie chimbo
Narudi na majibu