Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kheeee..!!! Yale uliyosema ya waganga..!!?? Au tunajibizana na mganga?Subiri nimalizie makande yangu
Yote majibuKheeee..!!! Yale uliyosema ya waganga..!!?? Au tunajibizana na mganga?
Mungu wangu, kurogwa nje nje..!!Yote majibu
Sa kwanini hukuaga kwenu?Mungu wangu, kurogwa nje nje..!!
Kwani wa Moshi nao mnawaroga? Maana yakinishinda nahamia MoshiSa kwanini hukuaga kwenu?
Hamia kwanza ndio nitakujuzaKwani wa Moshi nao mnawaroga? Maana yakinishinda nahamia Moshi
AAGH WAPI..!! ISIJE IKAWA MNATAFUTA WA KUMWACHIA MIKOBA..!!Hamia kwanza ndio nitakujuza
January yote hii mnapata wapi muda wa kupendana😂Hatuachaniiii...😁
😂😂AAGH WAPI..!! ISIJE IKAWA MNATAFUTA WA KUMWACHIA MIKOBA..!!
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂!Umeunganisha mno mafile hapo....embu sambaratisha kidogo.At least uweke wanawake kwa wanawake na wanaume kwa wanaume.Mwenzio huwa nikipenda napenda kweli na nikivurugika navurugika kweli.Please...I mean it
Me nina bando la mawazo hapa
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] babeee ake.Nakupenda pia sweetheart[emoji3059][emoji8]
Kinachokuchekesha