Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

😂😂😂😂😂 somo la kujiamini niliFAIL BIG TIME
🤣🤣🤣🤣
Tatizo lako kila mtu unamuona ni threat, hata ambao hawana time

Jiamini bana uishi kwa amani, kuepuka stress za hapa na pale.
 
🤣🤣🤣🤣
Tatizo lako kila mtu unamuona ni threat, hata ambao hawana time

Jiamini bana uishi kwa amani, kuepuka stress za hapa na pale.
Sasa mnanisaidiaje? 🤣🤣

Mnanipeleka hosp au kwa mganga? Au mnipe kile kinachoniwehusha akili 😒
 
Sasa mnanisaidiaje? 🤣🤣

Mnanipeleka hosp au kwa mganga? Au mnipe kile kinachoniwehusha akili 😒
Hapo pambana na hali yako tu dyadya

Tuko busy na mambo ya msingi sie
Stress ujipe wewe tiba tukupe sie umeona wapi hiyo.

Af saa 6 kasoro hii, nakukumbusha😂
 
Hapo pambana na hali yako tu dyadya

Tuko busy na mambo ya msingi sie
Stress ujipe wewe tiba tukupe sie umeona wapi hiyo.

Af saa 6 kasoro hii, nakukumbusha😂
Basi nifundisheni u upstairs
🤣🤣

Mbivu na mbichi zitajulikana 😒
 
Back
Top Bottom