Mention someone without any reason just to disturb them

Birthday blessing babe sis Darlin 🌹

We ni mtu poa sana
Kamrembo ka ukoo 😁 sijui hata ni ukoo gani
Kacrush ka mzee wa Azam (hii ione kama huioni)

Nipo nimekaa hapa Himo nafikiria maneno mazuri ya kukuandikia 😂
Our veree charming gelo- mtu na mistory yake 😂😂

Yesu akutunze D
Ubarikiwe mpk ushangae, ukawe mwaka wa kheri nyingi zaidi. Kicheko kisikupungue 😘

Nakupenda 🌹🤗❤️
Baadae nikikumbuka maneno mengine nitakwambia 😂😂😂
 
😂😂😂😂ila dada kwann we mtu wa vayolensi jaman
Hadi ka basideeee nisikile na furaha

Anyway nitadeal na hili kesho. Utakuta ka email ka kukususpend😂😂😂

Thank you sisy❤️
I mean sisy kibungo😂😂😂
Amina mpenzi wangu

Baraka zikawe nasi sote dada kipenzi
Nakupenda dada❤️ mwenye usumbufu wake mjini😂😂
My roli modo😆😆
Kamanda kipensi
Jemedari jide😂😂😂
 
😂😂😂 jiandae twende Sinza pazuri

Kabla ya kutuma ka email unatakiwa kuomba ruhusa majuu

Amen young kibungo 😂😂😂
Mambo ni hiviiii mdogo wangu mzuri

Tuendelee tulipoishia 🥂🌹🎂♥️
 
Yaani sijui hata naona wako serious mwezi huu kweli .. Inakera mtu huna hata kosa unazuiliwa tu dah Depal
 
😂😂😂 jiandae twende Sinza pazuri

Kabla ya kutuma ka email unatakiwa kuomba ruhusa majuu

Amen young kibungo 😂😂😂
Mambo ni hiviiii mdogo wangu mzuri

Tuendelee tulipoishia 🥂🌹🎂♥️
Sinza huko kuna burudani kwa watu wote me naogopa bana
Twende hata masaki tukashangae shangae

Kwa maneno mazuri vile ruhusa shwaaaaaa ushapata sema lingine

Cheers 🥂❤️
 
Yaani sijui hata naona wako serious mwezi huu kweli .. Inakera mtu huna hata kosa unazuiliwa tu dah Depal
Yani hujajua kosa lako kweli?
Siku ile ulikua unashangilia ugomvi, shauri lako lilifikishwa kwenye kamati🤣🤣
 
Pole sana
Umefanya kosa gani tena?
Au umerusha ngumi mdogo wangu?
Tumekumiss pia
Alaf umekosa leo kuna mzigo ulipanda kule wa kufungulia mwaka
asante sana kaka shikamoo . Nimeona mzigo ubarikiwe kwa kweli .
 
Pole sana
Umefanya kosa gani tena?
Au umerusha ngumi mdogo wangu?
Tumekumiss pia
Alaf umekosa leo kuna mzigo ulipanda kule wa kufungulia mwaka
hata sikuwa nashangalilia , kosa langu ni hili usiku nimeshtuka naona comments hazipo kuhoji mara mbili mara shwaa you are unable to reply hadi tarehe fulani
 
Sinza huko kuna burudani kwa watu wote me naogopa bana
Twende hata masaki tukashangae shangae

Kwa maneno mazuri vile ruhusa shwaaaaaa ushapata sema lingine

Cheers 🥂❤️
😂 huko kote kubaya
Twenzentu Sanya juu
 
Yaani sijui hata naona wako serious mwezi huu kweli .. Inakera mtu huna hata kosa unazuiliwa tu dah Depal
😂 nilionaa
Wanaingilia mpk uhuru wa chats za watu
Mpk mtu akathubutu kusema ‘some ppl wanajuana na mods ndo maana
Aloooo .. poleni kwa upepo mbaya unaowakuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…