Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Ngoja niende mazoezi Jirani, nitakupigia baadae ukiwa free...Good man,utakuwa good dad pia.....hope mishe zako zinaenda poa pia...u just focus๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niende mazoezi Jirani, nitakupigia baadae ukiwa free...Good man,utakuwa good dad pia.....hope mishe zako zinaenda poa pia...u just focus๐
Ok,see you thenNgoja niende mazoezi Jirani, nitakupigia baadae ukiwa free...
๐๐๐๐ila dada kwann we mtu wa vayolensi jamanBirthday blessing babe sis Darlin ๐น
We ni mtu poa sana
Kamrembo ka ukoo ๐ sijui hata ni ukoo gani
Kacrush ka mzee wa Azam (hii ione kama huioni)
Nipo nimekaa hapa Himo nafikiria maneno mazuri ya kukuandikia ๐
Our veree charming gelo- mtu na mistory yake ๐๐
Yesu akutunze D
Ubarikiwe mpk ushangae, ukawe mwaka wa kheri nyingi zaidi. Kicheko kisikupungue ๐
Nakupenda ๐น๐คโค๏ธ
Baadae nikikumbuka maneno mengine nitakwambia ๐๐๐
๐๐๐ jiandae twende Sinza pazuri๐๐๐๐ila dada kwann we mtu wa vayolensi jaman
Hadi ka basideeee nisikile na furaha
Anyway nitadeal na hili kesho. Utakuta ka email ka kukususpend๐๐๐
Thank you sisyโค๏ธ
I mean sisy kibungo๐๐๐
Amina mpenzi wangu
Baraka zikawe nasi sote dada kipenzi
Nakupenda dadaโค๏ธ mwenye usumbufu wake mjini๐๐
My roli modo๐๐
Kamanda kipensi
Jemedari jide๐๐๐
๐๐๐๐ nikiona mtu anasema hivi nasikia kucheka
Sinza huko kuna burudani kwa watu wote me naogopa bana๐๐๐ jiandae twende Sinza pazuri
Kabla ya kutuma ka email unatakiwa kuomba ruhusa majuu
Amen young kibungo ๐๐๐
Mambo ni hiviiii mdogo wangu mzuri
Tuendelee tulipoishia ๐ฅ๐น๐โฅ๏ธ
Pole sana
Yani hujajua kosa lako kweli?Yaani sijui hata naona wako serious mwezi huu kweli .. Inakera mtu huna hata kosa unazuiliwa tu dah Depal
asante sana kaka shikamoo . Nimeona mzigo ubarikiwe kwa kweli .Pole sana
Umefanya kosa gani tena?
Au umerusha ngumi mdogo wangu?
Tumekumiss pia
Alaf umekosa leo kuna mzigo ulipanda kule wa kufungulia mwaka
hata sikuwa nashangalilia , kosa langu ni hili usiku nimeshtuka naona comments hazipo kuhoji mara mbili mara shwaa you are unable to reply hadi tarehe fulaniPole sana
Umefanya kosa gani tena?
Au umerusha ngumi mdogo wangu?
Tumekumiss pia
Alaf umekosa leo kuna mzigo ulipanda kule wa kufungulia mwaka
๐ huko kote kubayaSinza huko kuna burudani kwa watu wote me naogopa bana
Twende hata masaki tukashangae shangae
Kwa maneno mazuri vile ruhusa shwaaaaaa ushapata sema lingine
Cheers ๐ฅโค๏ธ
๐ nilionaaYaani sijui hata naona wako serious mwezi huu kweli .. Inakera mtu huna hata kosa unazuiliwa tu dah Depal
Marahaba mdogo wangu๐๐asante sana kaka shikamoo . Nimeona mzigo ubarikiwe kwa kweli .
Au Lenie ndo kapewa umoderator?๐ nilionaa
Wanaingilia mpk uhuru wa chats za watu
Mpk mtu akathubutu kusema โsome ppl wanajuana na mods ndo maana
Aloooo .. poleni kwa upepo mbaya unaowakuta