๐๐๐ leo nakutumiaNasubiri namba za yule kijana ndio tuongeleshane vizuri๐
Plans gani๐Nina plans na baba zao ๐๐๐
Kuwaunga gridi ya Taifa ๐๐Plans gani๐
Kazi yako kula Shubiri tuNakunywa ila tatizo kushiba sishibi sijui kwanini
Shubiri yanikausha mwili, nguo zanipwaya nahitaji msaada wa haraka
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKuwaunga gridi ya Taifa ๐๐
Nitafutie virutubisho bana, hata mimi napenda niwe na nyama nyama๐Kazi yako kula Shubiri tu
Lazima unyauke ๐๐๐
Who cares?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Si utawaua watoto wabaki yatima, wahurumie jamani
Na kujipatia pia hujui ๐๐Nitafutie virutubisho bana, hata mimi napenda niwe na nyama nyama๐
Nguo zinikae
Mjini watu wengi naogopa Corona ๐คฃ๐คฃ๐คฃNa kujipatia pia hujui ๐๐
Sijui tukulete mjini .. shida unakaa majanini, fanya utoke kwanza
Tukutumie nauli upeleke kikoba ๐๐ฎMjini watu wengi naogopa Corona ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nitumieko nauli basi nije weekend hii nije kuosha macho na kusagula๐
Na ninavyodaiwa kikoba, mkituma mmeisha ๐คฃTukutumie nauli upeleke kikoba ๐๐ฎ
Mwalimu na madeni sikushangaiNa ninavyodaiwa kikoba, mkituma mmeisha ๐คฃ
Spirit ya madeni iko damuni, niache ๐คฃ๐คฃ๐คฃMwalimu na madeni sikushangai
Em kwenda kwanza ๐คฃ๐คธโโ๏ธ
Nakuweka kwa maombi ๐๐ maana unasikitisha sanaSpirit ya madeni iko damuni, niache ๐คฃ๐คฃ๐คฃ