Mention someone without any reason just to disturb them

ngoja niwakereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


 
nifanye nin ili na mm niweze kuwemo kwenye hii list?
 


Mkuu,umejuaje IDs zote hivi?
 
Hivi Chakorii, jina lako lina maana gani [emoji4][emoji4]
Kwanza naomba nichukue fursa kukushukuru kuniqoute..nilikuwa nikikusubiri mda mrefu sana.asante mno.

Nikaona uzi wowote wa ushauri uko na comment yako nasoma mara mbili mbili.unaushauri mzuri sana.pokea sifa na utukufu πŸ‘

Back to the point.

Chakor ni main character wa movie moja ya kihindi inaitwa udaan kama sijakosea..ila nilijiita Chakorii kwa lafudhi ya kichaga.kwa bahati mbaya sikufanikiwa kuimaliza hiyo movie mana ni ndefu ..ila ni movie nzuri sana unaeza kulia mwanzoni kama mtu wa machoziya karibu.
Nimejaribu kutafuta maana yake kihindi baada ya kuniuliza sijafanikiwa..

Kwa msaada wa anko gugo...πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…