zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Ohh!wonderful tag so do I know you already[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohh!wonderful tag so do I know you already[emoji4]
Jisikie huru kunidistabu wakati wo wote soulimeti wala usijali...Yaani saulimeti ndiyo nilikua natype nikutag ujue, ila hii title ya uzi inafurahisha "just to disturb them"[emoji3]
Make them play Truth or Dare if so[emoji23]
Amen and thank you Soulmate, weekend njema piaJisikie huru kunidistabu wakati wo wote soulimeti wala usijali...
Uwe na wikiendi njema na iliyobarikiwa kwako pamoja na wapendwa wako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Abeewangu
😂😂😂Ohh!wonderful tag so do I know you already[emoji4]
Hata hivyo ladies with short names hamnaga shida kabsa[emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23]
Jisikie huru kabisa kunidistabu soulimeti. Roho zetu zimeshonanishwa kimalimwengu na kinachokudistabu wewe ni lazima kitanidistabu na mimi pia. Na kwa vile kinatudistabu wote katika kiwango cha roho na urazini, basi kunidistabu kwako ni faraja kubwa sana kwangu [emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Amen and thank you Soulmate, weekend njema pia
Ila hii ruhusa hii, ntakuwa nakudistabu usijejuta tuu[emoji3]
Hatunaga tatizo na mtu, life is too shortHata hivyo ladies with short names hamnaga shida kabsa[emoji4][emoji4]
👏👏👏👏...madame huwa ananibariki mno na michango yake jukwaani..Mungu azidi kumtetea kila itwapo leo..Ngoja wengine tusiseme mpendwa ila Mungu Anakutumia kwa namna ya ajabu sana. Wewe waweza kudhani kuwa ni vitu vidogo tu unavyofanya lakini katika dunia hii ya sasa iliyojaa vurugu hii, neno moja lenye mwongozo huishi linaweza kubadili maisha ya mtu kabisa. Endelea kutusaidia na kamwe usichoke. Taji lako utalikuta [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kumbe ni kweli basi endelea kuwa mpole Mamie[emoji4]Hatunaga tatizo na mtu, life is too short
😍 😍 😍 😍 😍 🥰Abee
Mahaba yakuzidi[emoji23][emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji3059]
[emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180]
Sawa sitabadilikaKumbe ni kweli basi endelea kuwa mpole Mamie[emoji4]