Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Wee usiniambie?? Ko mpk harusi wanayo?
Kweli mabwaku, magasho wanaolewa [emoji23]
Kheeeh uduguuu wasiolewee kwiooo? Watu walichelewa kujua biriani LA kwa Rulengee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kheeeh uduguuu wasiolewee kwiooo? Watu walichelewa kujua biriani LA kwa Rulengee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wee [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Dah! Kweli mabwaku!!
Ko ile minjemba mi2 yote tate nane?
Vipeuo vya pili!!
 
Wee [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Dah! Kweli mabwaku!!
Ko ile minjemba mi2 yote tate nane?
Vipeuo vya pili!!
Km sio vigawe vya 2, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mhm!! Bichwa lako box usome PCM thubutuuu!!! [emoji23][emoji23]

Ebu nikachekee washroom nioge kabisa
Hamna o level nilipata Div 1, ningetaka pcm ningesoma tu[emoji23]

Nilienda HGL kwa sababu mbili
Niijue vizuri language na nifaulu vizuri sana nipate nafasi UD.
Maana miaka ile chuo kilikua ni kama hicho tu na competition ni kubwa. Cutting points zilikua juu sana
 
Kwa hiyo watu wakiwa sodomized wewe kwako furaha tu?
Sasa niwe na huzuni na wenzio wanapumuliana km kawaa? Huo muda nautoa wapiii?

Kila mtu anatumia mwili wake atakavyo, na huwezi mpangia. Makasiriko sio shida zangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna o level nilipata Div 1, ningetaka pcm ningesoma tu[emoji23]

Nilienda HGL kwa sababu mbili
Niijue vizuri language na nifaulu vizuri sana nipate nafasi UD.
Maana miaka ile chuo kilikua ni kama hicho tu na competition ni kubwa. Cutting points zilikua juu sana

Hiyo ni UONGO [emoji23]

Sema wewe ulikuwa unapapenda daslam, ko MU ilikuwa IDM enzi hizo haikuwa na competition? Ilikuwa mwaka gani [emoji1787]
 
Back
Top Bottom