Mention someone without any reason just to disturb them

Wala mm sina time kabisa, tatizo kuna mambo unayakuta bila hata kujua imekuaje.

Kuna kipindi nikiingia insta naona story za aggrey kafanya hivi kafanya vile wakawa wanaweka na clip zake. Ni huzuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lile tumbo na ule weusi, lilifaa kuwa mume wa mtu kabisa!!
Dah! Mambo haya ni magumu aiseee!!
Mbna alioa na ana mtoto, si kawaacha huko moshi, yeye kaja kuvegela Dar, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbna alioa na ana mtoto, si kawaacha huko moshi, yeye kaja kuvegela Dar, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamani kumbe [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamevurugwa aisee!!
Watu wa mikoani wasumbufu na ndio wenye hekaheka mjini!!

Ko kaona aje kusalamba town [emoji23][emoji23]
 
Jamani kumbe [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamevurugwa aisee!!
Watu wa mikoani wasumbufu na ndio wenye hekaheka mjini!!

Ko kaona aje kusalamba town [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaamua na aolewe mazimaa.
Uboo una hatariii, weka mbali kabisaa.
 
Mmeo mpana mwambie atume vocha kwanza [emoji23]
Yaan alivyo chachuka na kushanduka, nehiiii hapana kwa kweliii.
Kikundi nchonchobo kisha muharibu baba wa watu. Had hurumaa yaan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], afu hafananiii sasa.

Muambie wee alokuuliza, akitaka kukujua akupe vocha kwan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…