Mention someone without any reason just to disturb them

Yaani saulimeti ndiyo nilikua natype nikutag ujue, ila hii title ya uzi inafurahisha "just to disturb them"[emoji3]
Jisikie huru kunidistabu wakati wo wote soulimeti wala usijali...

Uwe na wikiendi njema na iliyobarikiwa kwako pamoja na wapendwa wako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Jisikie huru kunidistabu wakati wo wote soulimeti wala usijali...

Uwe na wikiendi njema na iliyobarikiwa kwako pamoja na wapendwa wako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen and thank you Soulmate, weekend njema pia

Ila hii ruhusa hii, ntakuwa nakudistabu usijejuta tuuπŸ˜€
 
Amen and thank you Soulmate, weekend njema pia

Ila hii ruhusa hii, ntakuwa nakudistabu usijejuta tuu[emoji3]
Jisikie huru kabisa kunidistabu soulimeti. Roho zetu zimeshonanishwa kimalimwengu na kinachokudistabu wewe ni lazima kitanidistabu na mimi pia. Na kwa vile kinatudistabu wote katika kiwango cha roho na urazini, basi kunidistabu kwako ni faraja kubwa sana kwangu [emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘...madame huwa ananibariki mno na michango yake jukwaani..Mungu azidi kumtetea kila itwapo leo..
 
asante sana Chakorii, nakupenda pia rafiki
bless you too kipenziπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°nakosa cha kuongea Mtende mama..asante kwa kunipenda pia😘😘😘Mungu aendelee kukupigania na kukutumia uwe na umri mrefu wenye uzima na Baraka..Hallelujah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…