Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Unazingua inatakiwa itangazwe mara tatu ili wale wapingaji wajitokeze.Naolewa kimya kimya mie? Akati harusi itakua ktk Chanel mbali mbali za TV.
JF kutakua na crew yao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Star km mie, afu kimya kimya? Nani kasema.