Watu hamlali πOhoo kumbe! Akili za usiku hiziπ
Weekend ndo kumekuchaπWatu hamlali π
Hivi huyu mtu yupo? Nimemmiss kitambo sijamuona
Wacha weee... EnjoyWeekend ndo kumekuchaπ
Pole jaman, ni bro wangu nimzukie saivi? Au mwingineWacha weee... Enjoy
Me kuna mtu kanidisturb ya ukweli ukweli kanikata steam za usingizi π΄π£
Em mdisturb kidogo half mwambie amemisika huku
Haha bro wako mpole yule hana makuu....Pole jaman, ni bro wangu nimzukie saivi? Au mwingine
Hahahaa pole sana, upepo ule unakata usingz wote.Haha bro wako mpole yule hana makuu....
Huku mtu kanitoa nje na hii baridi nikafungue geti, imagine upepo umepuliza usingizi wangu wote ππ
whatsap!@Hornet
Haha najipoza kwa blanket. Kaka ako mpole yule naogopa kumdisturb πHahahaa pole sana, upepo ule unakata usingz wote.
Nampendaga bro angu, he is such a gentleman.
Kwanza mpigie anaweza kua msaada akarudisha usingiz wako fastaaπ
Cc Boeing 747
Huyo mdisturb tu anytime, akikuuliza mwambie sister ako kanipa ruhusa.Haha najipoza kwa blanket. Kaka ako mpole yule naogopa kumdisturb π
πuhuh!Huyo mdisturb tu anytime, akikuuliza mwambie sister ako kanipa ruhusa.
Kwanza navyomjua yule, atafrahia akiwa disturbed na wewe