Mention someone without any reason just to disturb them

Andika kwamba waturudishie page namba PM. Jana ilikuwepo, ila naona leo wameiondoa tenA. Hii iliyopo ni mbaya sana. Inatuwia ugumu kurudi previous Sms za mabebi zetu.
Jana nimeona kuna pg namba km ambavyo ilikuwaga zamani b4 walete mabadiliko.

Kwakweli old is gold bana
Hii mpya inachefua
Haya lete tuone hiyo title, usikute Ume vurugwa na mvinyo πŸ€“πŸ˜„
 
Nime Lia SanaπŸ˜„πŸ€“, na hivi huwa Sina wa kuchati nae pm.
 
Zamani palikuwa na kick out. Km mm na ww tunachat Pm. Nikiclick hiyo kick out, nakuremove kwenyw hiyo chatting na sms zinafutika kwako pia.

Jf ya zamani ilikuwa nzuri
Mabadiliko yanazidi kuifanya iwe mbaya
Ila Sasa hivi si Wana Ile leave out, ambayo una jitoa tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…