Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Kha😂Nikutumie kwenye fuso 😂😂
Usanii huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha😂Nikutumie kwenye fuso 😂😂
Kuna fuso kesho Lina kuja uko na vumbi la Kongo mshamba_hachekwi kaagiza piaKha😂
Usanii huo
Kuna fuso kesho Lina kuja uko na vumbi la Kongo mshamba_hachekwi kaagiza pia
Jina tu lina onyesha sio wa kawaida😀inaitwa kurzgesagt Intelligent businessman
Haya lete tuone hiyo title, usikute Ume vurugwa na mvinyo 🤓😄Intelligent businessman oi najua we ni mzuri wa kuandika nyuzi. Nikupe title uwaandikie mods
Wanaharibu sana upande wa PM
Haya lete tuone hiyo title, usikute Ume vurugwa na mvinyo 🤓😄
Nime Lia Sana😄🤓, na hivi huwa Sina wa kuchati nae pm.Andika kwamba waturudishie page namba PM. Jana ilikuwepo, ila naona leo wameiondoa tenA. Hii iliyopo ni mbaya sana. Inatuwia ugumu kurudi previous Sms za mabebi zetu.
Jana nimeona kuna pg namba km ambavyo ilikuwaga zamani b4 walete mabadiliko.
Kwakweli old is gold bana
Hii mpya inachefua
Kick out ndo ikoje??Wamegoma kurudisha na kick out huko PM. Wanatakiwa wajue jf ya browser ni nzuri pia, watuache nayo. Wengine App inatuzingua Intelligent businessman
Ukimaliza kulia nyamaza uweke uziNime Lia Sana😄🤓, na hivi huwa Sina wa kuchati nae pm.
Zamani palikuwa na kick out. Km mm na ww tunachat Pm. Nikiclick hiyo kick out, nakuremove kwenyw hiyo chatting na sms zinafutika kwako pia.Kick out ndo ikoje??
Ila Sasa hivi si Wana Ile leave out, ambayo una jitoa tu??Zamani palikuwa na kick out. Km mm na ww tunachat Pm. Nikiclick hiyo kick out, nakuremove kwenyw hiyo chatting na sms zinafutika kwako pia.
Jf ya zamani ilikuwa nzuri
Mabadiliko yanazidi kuifanya iwe mbaya