Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Sawa ngoja nika andike kule kwenye complaining, SI ndo huko una taka??Ukimaliza kulia nyamaza uweke uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ngoja nika andike kule kwenye complaining, SI ndo huko una taka??Ukimaliza kulia nyamaza uweke uzi
Hiyo leave out iko hata zamaniIla Sasa hivi si Wana Ile leave out, ambayo una jitoa tu??
YesSawa ngoja nika andike kule kwenye complaining, SI ndo huko una taka??
Sawa, ngojaa niandike, ila dah kukosa mtu una shindwa kujua hata setting za pm😄🤓Hiyo leave out iko hata zamani
Haifanani na kick out.
Hizo ni vitu 2 tofauti
Bora iwe hivo. Kuliko kuchat na majini mwisho screenshot zitoke nje na PmSawa, ngojaa niandike, ila dah kukosa mtu una shindwa kujua hata setting za pm😄🤓
We ni yupi tena? Watu wa JF mnabadilika badilika kila muda.
Miambie kipenzi changu 💕 miss youHi Poker
Kijana Hilo bundle halina kazi ehh😆🤓
Situmiagi bando Mimi ni mwendo wa wifi tuKijana Hilo bundle halina kazi ehh😆🤓
Nipe password ya wifi Sasa😆🤓Situmiagi bando Mimi ni mwendo wa wifi tu
Depal 2007Nipe password ya wifi Sasa😆🤓
Depal mu italy ana kuchokoza😆🤓Depal 2007
😁🤣😂 Hiyo ndio password yangu nilivyo andika kaka kuanzia ya home hadi ofisini ni Depal 2007Depal mu italy ana kuchokoza😆🤓
It seems una muotaga Depal ehh, hauna ka cat uka ite depal😆🤓😁🤣😂 Hiyo ndio password yangu nilivyo andika kaka kuanzia ya home hadi ofisini ni Depal 2007
Alooooh [emoji1787] sio poa D ebu fanya uje uchukue hii kitu au tuma hela nikununulie nikutumie