Mention someone without any reason just to disturb them

Jana wasap ulinikosa kuanzia saa ngapi? Nililala saa 2 na nusu. Nimeamka 12 kasoro πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi siwezi lala muda mrefu hivyo akii', nililala satano tena usingizi ulikuja baada ya ku sip, satisa nikawa macho ndiyo kuja kushtuka kumi na mbili tena..
 
🀣🀣🀣 Hebu nifundishe ujambazi huo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi siwezi lala muda mrefu hivyo akii', nililala satano tena usingizi ulikuja baada ya ku sip, satisa nikawa macho ndiyo kuja kushtuka kumi na mbili tena..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
That's why I sip my alcohol
I don't wanna reason bad things no more
I don't wanna go back to where I dey before
Make nobody stress me, no disturb me jo jo jooo

Mimi nina usingizi… hata saa 1 me nalala,,
 
[emoji23][emoji23] wee unamkumbuka yule mmiliki wa ile matipo iliyokujaga makapuku kujifanya inajua sana uswahili kutukana? Sasa kama huyo wala si uadui, ni vile unamfungia vioo tu.

[emoji1787][emoji1787] namkumbuka na nilimwambia njoo na id yako tuliyokuzoea usijifiche kwenye kichaka cha id fake, mpaka akala ban makapuku uje ukiwa na akili nzuri kabisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ weee kumbe ulikuwa na id ya kumzingua udugu wangu?? Ila JF ni kichaka, halafu ndio ushinde unagombana na watu humu aiseee utaugua uchizi..!!!
Unakuta id mpya ila ina taarifa zote za matukio ya humu..!!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ kwenye vagi uje na ID yako
Hizo zingine tumia labda ukiwa banned. Ila kutumia fake kutukana watu unakuwa mshamba tu.
 
No. Nilipewa ban ndefu na hii.. nikafungua ile 🀣 nikawa namchatisha chatsha. Sio kama ye akija na nyingine ni mitusi tu asbh mpk usku

Huku acha tu. Nilikutana pm na mtongozo wa id mbili zinamilikiwa na mtu 1 🀣🀣🀣
Niligundua kwenye picha aliyoshare πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nikamtonya. Akanambia chill. Nimemeza hadi leo yan
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo katisha aiseee!!
Kwahiyo alitaka kugundua nini sasa kukutongoza na id zote mbili??
JF members wanachekesha sana km una mawenge utaonekana kituko..!!
 
[emoji1787][emoji1787] namkumbuka na nilimwambia njoo na id yako tuliyokuzoea usijifiche kwenye kichaka cha id fake, mpaka akala ban makapuku uje ukiwa na akili nzuri kabisa
Kumbe makapuku huwa ina hit eeh? sijawahi kujuaπŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ kwenye vagi uje na ID yako
Hizo zingine tumia labda ukiwa banned. Ila kutumia fake kutukana watu unakuwa mshamba tu.
Na mi ndio napenda hivi!! Kwenye vagi ukija njoo na id yako iliyozoeleka inaleta raha. Mnachachuana mpk kila mmoja akitoka hapo anachekea pembeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ weee kumbe ulikuwa na id ya kumzingua udugu wangu?? Ila JF ni kichaka, halafu ndio ushinde unagombana na watu humu aiseee utaugua uchizi..!!!
Unakuta id mpya ila ina taarifa zote za matukio ya humu..!!!
Mimi nashangaa huwa unatoaga wapi taarifa🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo katisha aiseee!!
Kwahiyo alitaka kugundua nini sasa kukutongoza na id zote mbili??
JF members wanachekesha sana km una mawenge utaonekana kituko..!!
Kuna umuhimu wa kufunga pm wallah🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…