Usifute mwaya
Bado hatujaona vizuri
Wewe dada hufaiπ₯π₯View attachment 2926975
Umeona babycare na parachute hizo hapo
Hebu tuone toa ule mkono usoniππ₯π₯Ila Anne [emoji114]
Hebu tuone toa ule mkono usoni[emoji7][emoji91][emoji91]
Hunaga baya[emoji91]
Hebu tuone toa ule mkono usoni[emoji7][emoji91][emoji91]
Hunaga baya[emoji91]
Kuzeeka wakati mm sijabahatika kufaidi uzuri wako ni dharau hizo. Sijapenda
Umejificha sanaAngalia avatar huyo ndio mimi avatar zangu nyingi huwa najiweka mwenyewe mpenzi
Anne me sijaziki [emoji1787][emoji1787] picha zangu huna maana zimetembea
π€£π€£ leo mmeamua kuchota midhambi tu
πππ nikiwa mkubwa nitaijaribuD we si bado katoto unaendana nazo [emoji1787][emoji1787] sisi age gooo promax ndio tunazipenda ukiwa shangazi kama mimi utanielewa tu
Moja tu ya mwisho [emoji7][emoji91][emoji91]
Yaani hunaga baya dada mzuri[emoji91]