- Jan 30, 2008
- 786
- 1,555
Good morning.Good morning Active
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good morning.Good morning Active
😂😂😂 Akhu! Mi nna itel picha zina ukungu tupu labda ndiomana naonekana jau
Nakudai ujueGood morning.
Au tulie kinyaki mpk ofisi za JF nkamu??
Active ndugu yangu mbona mimi binti Sayuni sijawahi kuwa na dhambi ila mmenitoa peponi?? Eti malaika wa zamu nini mbaya?? 😜Good morning.
Utaniua, mbona nishatuma tokea kitambo.Nakudai ujue
Nakudai selfie
Kwani wewe uongo umeanza lini jamani?
🤣🤣🤣🤣 Sasa nkamu mbona hueleweki?? Huku unanipepea halafu unaniitia nyuki waning’ate tena!!Active njoo huku
Watu wa iphone wanatudhihaki
Kwahiyo umenipa ban ili uselfike nisikuone? 😜Utaniua, mbona nishatuma tokea kitambo.
Uongo haukupendezi ujue😢Utaniua, mbona nishatuma tokea kitambo.
Juzi nilimpa kapu la mayaiAu tulie kinyaki mpk ofisi za JF nkamu??
Ngoja niandae fuko la parachichi na matoke niwapelekee km zawadi ya kunipa ban waone aibu 😂😂😂😂
Mbona wengine keshawafunguliaKwahiyo umenipa ban ili uselfike nisikuone? 😜
Wee hii haikubaliki tupia hapa tuone tena upite naked
Hawezi kukupa ban😂🤣🤣🤣🤣 Sasa nkamu mbona hueleweki?? Huku unanipepea halafu unaniitia nyuki waning’ate tena!!
Na ngunyani nkamu kipindi chake hiki 😂😂😂
Kumbe?? 😜
Ila kweli mbona kuna wengine waharibu mijadala wazoefu nimewaona na wanatamba jamani.!
😂😂😂😂 maneno yako yanaanza kunichekesha ujue!! Eti manini??Maharamia wenzio wote walisharudi
Akuachie na wewe
Kesho nitamchumiaNa ngunyani nkamu kipindi chake hiki 😂😂😂
Bado mchele mpya wa kyela na kambale.. ashindwe yeye tu!!
Mmmh hachelewi kufuta Uzi,tukae Kwa kutulia😁😁😁😂😂😂😂 kiranja anapiga nyundo utosini
🤣🤣🤣🤣🤣Nimeshajua kumbe sijui kabisaa😂😂😂😂 hapo chacha utajua hujui