Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kaka jana ilikuwa vuta nikuvute pale nilikuwa nacheka tu ๐๐๐๐kulikuwa na Maonesho ya Afya na UsalamaKijana ulikuwa mwema zamani, sijui nani kaku roga๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka jana ilikuwa vuta nikuvute pale nilikuwa nacheka tu ๐๐๐๐kulikuwa na Maonesho ya Afya na UsalamaKijana ulikuwa mwema zamani, sijui nani kaku roga๐๐
Nipo good rafiki, nafurahi kukuonaSalama upo ok rafiki yangu
Mayday mayday ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ sitaki kusema kityu right now, nitafukuza my prey. but the attacks is real
Kijana karibu tupate matunda, acha hizo habari๐Kaka jana ilikuwa vuta nikuvute pale nilikuwa nacheka tu ๐๐๐๐kulikuwa na Maonesho ya Afya na Usalama
Weee watakua watakua wanafunzi wakuja tu , wakazi wa njiro hawapiganiKuna mademu jana walipigana jioni pale uwanja wa General Tyre, Njiro nilicheka sana walivutana mawigi ๐๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐๐
Asante sana kaka ๐๐ jana nilicheka sana Kuna mmoja nilimuonea hadi hurumaKijana karibu tupate matunda, acha hizo habari๐
Lakini mmoja wao SI alikuwa rafiki ako๐Asante sana kaka ๐๐ jana nilicheka sana Kuna mmoja nilimuonea hadi huruma
๐๐๐๐๐๐๐Hizi ni za ndaaani KabisaWeee watakua watakua wanafunzi wakuja tu , wakazi wa njiro hawapigani
๐๐ kaka ako analeta hapo chapMzuzu na mbuzi choma wii wake kipedhi๐
Usisahau Pepsi baridiii
then Strike up boy๐Mayday mayday ๐๐๐๐
Hapana kaka Mimi jana nilikuwa msimamizi tu wa sehemu ya NHIF hadi alivyokuja doto biteko nikaona ugomvi wadada wawili ๐๐Lakini mmoja wao SI alikuwa rafiki ako๐
๐๐๐ tunanyimaaZita sababisha mgao wa amani, maana kila mtu ata taka๐๐คฃ
View attachment 2976666
Mkuje wote bana๐๐ kaka ako analeta hapo chap
๐คฃ๐๐๐๐๐Intercontinental ballistic missilethen Strike up boy๐
๐ njoo utuijieMkuje wote bana
Subiri mwakani ๐๐๐๐๐ tunanyimaa
Kijana hebu acha hizo๐๐, una jua intelli siku hizi napenda ugali na samaki.Hapana kaka Mimi jana nilikuwa msimamizi tu wa sehemu ya NHIF hadi alivyokuja doto biteko nikaona ugomvi wadada wawili ๐๐
Kha mnapenda starehe nyie watu wawili๐๐ njoo utuijie
Jana nilicheka hadi jamaa wakaniambia kumbe watu dar mnapenda sana ngumi na kucheka sana ๐๐๐Kijana hebu acha hizo๐๐, una jua intelli siku hizi napenda ugali na samaki.
Sasa mnavyo rushiana damu sijui ka ntakuja kula kuku Tena๐๐