Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kaka jana ilikuwa vuta nikuvute pale nilikuwa nacheka tu ππππkulikuwa na Maonesho ya Afya na UsalamaKijana ulikuwa mwema zamani, sijui nani kaku rogaππ
Nipo good rafiki, nafurahi kukuonaSalama upo ok rafiki yangu
Mayday mayday πππππππππ sitaki kusema kityu right now, nitafukuza my prey. but the attacks is real
Kijana karibu tupate matunda, acha hizo habariπKaka jana ilikuwa vuta nikuvute pale nilikuwa nacheka tu ππππkulikuwa na Maonesho ya Afya na Usalama
Weee watakua watakua wanafunzi wakuja tu , wakazi wa njiro hawapiganiKuna mademu jana walipigana jioni pale uwanja wa General Tyre, Njiro nilicheka sana walivutana mawigi ππ€£ππππππππ
Asante sana kaka ππ jana nilicheka sana Kuna mmoja nilimuonea hadi hurumaKijana karibu tupate matunda, acha hizo habariπ
Lakini mmoja wao SI alikuwa rafiki akoπAsante sana kaka ππ jana nilicheka sana Kuna mmoja nilimuonea hadi huruma
πππππππHizi ni za ndaaani KabisaWeee watakua watakua wanafunzi wakuja tu , wakazi wa njiro hawapigani
ππ kaka ako analeta hapo chapMzuzu na mbuzi choma wii wake kipedhiπ
Usisahau Pepsi baridiii
then Strike up boyπMayday mayday ππππ
Hapana kaka Mimi jana nilikuwa msimamizi tu wa sehemu ya NHIF hadi alivyokuja doto biteko nikaona ugomvi wadada wawili ππLakini mmoja wao SI alikuwa rafiki akoπ
πππ tunanyimaaZita sababisha mgao wa amani, maana kila mtu ata takaππ€£
View attachment 2976666
Mkuje wote banaππ kaka ako analeta hapo chap
π€£πππππIntercontinental ballistic missilethen Strike up boyπ
π njoo utuijieMkuje wote bana
Subiri mwakani πππππ tunanyimaa
Kijana hebu acha hizoππ, una jua intelli siku hizi napenda ugali na samaki.Hapana kaka Mimi jana nilikuwa msimamizi tu wa sehemu ya NHIF hadi alivyokuja doto biteko nikaona ugomvi wadada wawili ππ
Kha mnapenda starehe nyie watu wawiliππ njoo utuijie
Jana nilicheka hadi jamaa wakaniambia kumbe watu dar mnapenda sana ngumi na kucheka sana πππKijana hebu acha hizoππ, una jua intelli siku hizi napenda ugali na samaki.
Sasa mnavyo rushiana damu sijui ka ntakuja kula kuku Tenaππ