Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Istanbul hawana hiyo mene labda tukuangalizie shishi food au Kwa Esha buheti🤔🤭Mimi niletewe ndizi utumbo na mbogamboga, waambie utumbo wasibanie wamwage
Sawa fanyeni hivyo mtakua mmeniokoa🤸Istanbul hawana hiyo mene labda tukuangalizie shishi food au Kwa Esha buheti🤔
Istanbul wamesema wanayo, Chicken Shawarma,bbq wings, french fries,salad na soda ya kopo...30kHahahahaha...hebu waulize instabul pale wana lunch box ipi, au uliza subway ama hata shishi food kama ana lunch box
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani njaa inakuuma sana?Sawa fanyeni hivyo mtakua mmeniokoa🤸
Njaa inaniuma asubuhi sijashiba🤣🤣🤣🤣🤣Kwani njaa inakuuma sana?
Unapenda sana utumbo?Acha niwaache ila hapo kwenye lunch box nawaza sijui ni chips yai au ndizi mshale zilizotiwa nazi na utumbo kilo moja🥺
Kawaida tu! Ila ndizi raha yake utumbo😋Una
Unapenda sana utumbo?
Njooo tulee 😁😂😁Njaa inaniuma asubuhi sijashiba
🤣🤣🤣🤣🤣Dah...ukute ulikula viazi vya kuchemsha na kunde iliyoungwa Nazi,na bado hujashiba!Njaa inaniuma asubuhi sijashiba
Salama Swahiba..Umeamkaje Swahiba
Wali na parachichi tu🤣🤣🤣🤣🤣Dah...ukute ulikula viazi vya kuchemsha na kunde iliyoungwa Nazi,na bado hujashiba!
Unakula niniNjooo tulee 😁😂😁
Miss you zaidi Kipenzi....Auntie nimekumiss Siku hizi umepotea sana 😊😊
SawaKawaida tu! Ila ndizi raha yake utumbo😋
Chipsi zegeUnakula nini
Chips nimepumzikA kitambi kimekua kikubwa sana kinafunika hadi mapajaChipsi zege
Mambo yangu ni poa kabisa sijui wewe,SwahibaSalama Swahiba..
Mambo yako?