Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Njoo nikufanyishe mazoezi ya kupunguza tumbo ๐๐๐ niwe treinaa wakooChips nimepumzikA kitambi kimekua kikubwa sana kinafunika hadi mapaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikufanyishe mazoezi ya kupunguza tumbo ๐๐๐ niwe treinaa wakooChips nimepumzikA kitambi kimekua kikubwa sana kinafunika hadi mapaja
NakujaNjoo nikufanyishe mazoezi ya kupunguza tumbo ๐๐๐ niwe treinaa wakoo
Karibu sana Leo tutaanza na zoezi la kunywa maji mengi ๐๐Nakuja
Marahaba, hujambo boss?Hello ๐๐คฉ mrembo Hope urassa
Sema vin uko pouwa??
Hapana mimi ni muoga mkuu sometimes huwa nawaogopa hadi watu ninaowazidi umri, kiranga simkaribii hata kidogo yule jamaa yuko smart sana ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kujadili hoja, mimi najiona niko kawaida tu ukiacha wanaume kuna wanawake wengi pia humu jf ambao binafsi nawaona wako vizuri sana upstairsWewe sio muoga hata kidogo tena upo smart sana kwa apa jf unaweza kuwa au kukaribiana na kiranga, kiufupi wewe ni kiranga wa kike.
Huyo Anayekuficha anatutafuta ubaya ๐ค๐คMiss you zaidi Kipenzi....
Yaani na nimepotea kweli hadi siyo poa๐