Euphra
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 522
- 1,082
INSIDER MAN arsenal kazingua tumekosa picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nimezoea huku huku bana 😂😂😂sikushaur sababu utatoka nduki mwenyewe 😂😂😂😂
hujakosea kabisa lazima wajue na waone wote🤣🤣😂😂Mi nimezoea huku huku bana 😂😂😂
Huku ndo fresh tunamalizana huku huku si ety eeeh
Hivi Gede Jana alifunga?? Maana ni mchezaji mbovu
HakufungaHivi Gede Jana alifunga?? Maana ni mchezaji mbovu
Hahaha hukukosea. Wanaume wote ni mafataki. Kasoro mimiHakufunga
Nisamehe nilivyosema fataki..!😣
Basi nikajua nishaharibuHahaha hukukosea. Wanaume wote ni mafataki. Kasoro mimi
Lazima ijulikane nani KITUNGUU nani NYANYA 😂 😂 😂 😂hujakosea kabisa lazima wajue na waone wote🤣🤣😂😂
Hahaha hapana.Basi nikajua nishaharibu
Kasoro mimiHahaha hapana.
Watu wa jf wote ni mafataki wote.
Wewe Kama ni mwana Jf basi ni fatakiKasoro mimi
Basi nalog out hutoniona humu tenaWewe Kama ni mwana Jf basi ni fataki
unavojimwaga sasa😂🤣 unajiamini sana eeeh,,ila wew namimi inaonesha wote hatuna kazi ujue mda mwingi tupo online 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lazima ijulikane nani KITUNGUU nani NYANYA 😂 😂 😂 😂
🤣🤣🤣🤣Basi nalog out hutoniona humu tena
😂Sema kweli mkwe!🤣🤣🤣🤣
Nitaumwa saaana.
I can't imagine vile....itakuwa. Mwili utavimba
😂😂😂😂😂 Mi ndo kabisa yaani ...unavojimwaga sasa😂🤣 unajiamini sana eeeh,,ila wew namimi inaonesha wote hatuna kazi ujue mda mwingi tupo online 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli vileee.😂Sema kweli mkwe!
Basi naendelea kuwepo unioneKweli vileee.