Mention someone without any reason just to disturb them

Usimtishe Mjukuu wangu hadi akaogopa kuniletea Kiko huku Kijijini nikimwita 😜

Maana huu ni Mwaka wa pili namwita aniletee Kiko zangu huku Kijijini hataki kabisa, anasema atakuja Bibi akiwepo 🤗🙌
🤣🤣Sina Imani kabisa na babu
 
Wanasema ombeni nanyi mtapewa....lakini tangu nimeanza kuomba hiyo Kiko Mwaka wa pili huu hujaniletea Mjukuu 🤗

Hili baridi la Arusha litaniua Babu yenu, Fanya kuniletea walau Kiko niwe navuta vuta kupunguza baridi 😜
Sasa wewe vyako hutaki tule ila vya wenzio unataka ule inawezekanaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…