Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Nadhani Uzee umechangia Mjukuu 🤗🤣🤣🤣Mnara wa babeli wajenzi mlikuwa mnaongea lugha gongana ndio maana haukusimama
Maana Binti wa watu akachukua filimbi kuipuliza wee lakini hata kushituka hamna
Kweli tumezeeka sasa 😜