Mention someone without any reason just to disturb them

Huyu anaonekana ni mwimba kwaya wa church, kilevi chake utakuta ni Soda aina ya Fanta 😜

Huyu ukimtoa out akitumia hela nyingi labda 22,000 ya makange ya Samaki πŸ€—
Naam

Hawa ndio wakwenda nao.

Yaan budget yake

Maji Kilimanjaro kubwa 1500

Maziwa mtindi 3000

Juisi fresh ya embe 3000

Total 10000.

Cheap and affordable
 
Naam

Hawa ndio wakwenda nao.

Yaan budget yake

Maji Kilimanjaro kubwa 1500

Maziwa mtindi 3000

Juisi fresh ya embe 3000

Total 10000.

Cheap and affordable
There you are Sir πŸ₯‚


Hawa wapo wachache sana kwenye hii Dunia, ukiwa naye unakuwa unamtoa out kila Siku bila kuogopa kufirisika πŸ˜…
 
Hahaha............yaani Kwa haraka haraka ulitumia elfu 8 tu πŸ˜…πŸ™Œ

Ukiongeza gharama ya Uber/bolt labda ndiyo itafika 15k 😜
Tulienda kula sehemu ambayo bei imenyooka, sikutaka kuangalia bei ya kuku wala hela ilivyolipwa sikuangalia πŸ˜‚
 
Kuku wa kfc mimi mbona nimewashindwa babu
Kila mtu anawasifia lakini mimi nikila naona wabaya au ushamba wangu😎 sababu hata pizza au baga zimenishinda
Huenda hujawapenda tu, ila ni watamu sana ukishushia na Coca/Pepsi baridi πŸ€—

Hizo Pizza ulizokula ni za pale Pizza huts ama Pizza za Mtaani πŸ™Œ

Nenda kale kaonje Pizza za Mkuki mall pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…