ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Soda situmii wala soft drink yoyote, natumia maji mtindi na maziwa kwa mbaliii..Huyu anaonekana ni mwimba kwaya wa church, kilevi chake utakuta ni Soda aina ya Fanta 😜
Huyu ukimtoa out akitumia hela nyingi labda 22,000 ya makange ya Samaki 🤗