Nipo posta ferry nauza samakiMsanii kivipi tena ? Ok uko posta sehemu gani..mie bajaji napaki mnazi mmoja
Oooh jioni nitapita hapo niwekee jodari wawili na samaki kibua mkubwa mmojaNipo posta ferry nauza samaki
Karibu!Oooh jioni nitapita hapo niwekee jodari wawili na samaki kibua mkubwa mmoja
Hahahahaha..saa hz kuna vidagaa nije kuchukua nile na mihogoKaribu!
Nataka nianze kukaanga mpaka saa 3 watakua tayariHahahahaha..saa hz kuna vidagaa nije kuchukua nile na mihogo
Sawa wakiwa tayari niambieNataka nianze kukaanga mpaka saa 3 watakua tayari
Hata hii kweli kuna watu wame-hate!!!Nimesalimika, ahsante kwa kunijali
Siku hizi umekuwa mtundu sanaπPole unaelekea wapi? Shuka sehemu nikupitie na bajaj yangu naenda kariakoo kubeba bidhaa
Usumbufu uendelee na udumuππ Asante sana Kwa kunisumbua
Hahahahaha....wewe ndio unanifundisha utundu ujue mie sijuagi haya mamboSiku hizi umekuwa mtundu sanaπ
Nafurahi unavyoimarika kwenye sector ya utunduHahahahaha....wewe ndio unanifundisha utundu ujue mie sijuagi haya mambo
Hahahahaha..mwalimu wangu uko vzr ujueNafurahi unavyoimarika kwenye sector ya utundu
Hiyo ni misa ya Jumapili jioni Swahiba...Hiyo swahiba niwe mkweli siijui.ikoje nipe somo kdg
Nawe pia Rafiki...Barikiwa
Oooh safi sana hiyo ,najua utakua umenisalia na kuniombea SwahibaHiyo ni misa ya Jumapili jioni Swahiba...
Inaitwa Baraka
Hahahahaha ni ktk kusumbua tuππππSawa Swahiba
Nimefanyaja hivyo SwahibaOooh safi sana hiyo ,najua utakua umenisalia na kuniombea Swahiba
πππ, ubarikiwe sana,SwahibaNimefanyaja hivyo Swahiba