ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Nipo posta ferry nauza samakiMsanii kivipi tena ? Ok uko posta sehemu gani..mie bajaji napaki mnazi mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo posta ferry nauza samakiMsanii kivipi tena ? Ok uko posta sehemu gani..mie bajaji napaki mnazi mmoja
Oooh jioni nitapita hapo niwekee jodari wawili na samaki kibua mkubwa mmojaNipo posta ferry nauza samaki
Karibu!Oooh jioni nitapita hapo niwekee jodari wawili na samaki kibua mkubwa mmoja
Hahahahaha..saa hz kuna vidagaa nije kuchukua nile na mihogoKaribu!
Nataka nianze kukaanga mpaka saa 3 watakua tayariHahahahaha..saa hz kuna vidagaa nije kuchukua nile na mihogo
Sawa wakiwa tayari niambieNataka nianze kukaanga mpaka saa 3 watakua tayari
Hata hii kweli kuna watu wame-hate!!!Nimesalimika, ahsante kwa kunijali![]()
Siku hizi umekuwa mtundu sana😂Pole unaelekea wapi? Shuka sehemu nikupitie na bajaj yangu naenda kariakoo kubeba bidhaa
Usumbufu uendelee na udumu😁😁 Asante sana Kwa kunisumbua
Hahahahaha....wewe ndio unanifundisha utundu ujue mie sijuagi haya mamboSiku hizi umekuwa mtundu sana😂
Nafurahi unavyoimarika kwenye sector ya utunduHahahahaha....wewe ndio unanifundisha utundu ujue mie sijuagi haya mambo
Hahahahaha..mwalimu wangu uko vzr ujueNafurahi unavyoimarika kwenye sector ya utundu
Hiyo ni misa ya Jumapili jioni Swahiba...Hiyo swahiba niwe mkweli siijui.ikoje nipe somo kdg
Nawe pia Rafiki...Barikiwa
Oooh safi sana hiyo ,najua utakua umenisalia na kuniombea SwahibaHiyo ni misa ya Jumapili jioni Swahiba...
Inaitwa Baraka
Hahahahaha ni ktk kusumbua tu😄😄😄😄Sawa Swahiba
Nimefanyaja hivyo SwahibaOooh safi sana hiyo ,najua utakua umenisalia na kuniombea Swahiba
🙏🙏🙏, ubarikiwe sana,SwahibaNimefanyaja hivyo Swahiba