Street College
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 147
- 422
Endelea tu na maringo yako.
We don't careMsimu ujao hatakuwepo
HahahahahahaahaWe don't care
Atakuja chuma kumzidi
Umeumia kwani?Hahahahahahaaha
Muanze kusajiri magarasa upya
Saana. Aondoke tuuuUmeumia kwani?
Pole! Msimu ujao dose ipo palepalee🤸Saana. Aondoke tuuu
Ndio mida hii Sasa,nashauri tuiite "twilight glory" 😁ila hii ni ya matajiri zaidi ambao hata wakilala ndani account inaendelea kusomaHivi evening glory ipogo??? Mtaaalam
Ohhh "twilight glory"Ndio mida hii Sasa,nashauri tuiite "twilight glory" 😁ila hii ni ya matajiri zaidi ambao hata wakilala ndani account inaendelea kusoma
We mzee ni muhuni hizo yees yees zimenichekesha🤸Ohhh "twilight glory"
🤣🤣🤣🤣
Yeeeees yeeees yeeees.
Ohh yeeees.
Hiyo yeees yako mbona kama inashawishi, 🤔🤔🤔 acheni utundu nyie watu jamaniOhhh "twilight glory"
🤣🤣🤣🤣
Yeeeees yeeees yeeees.
Ohh yeeees.
Mkwe....We mzee ni muhuni hizo yees yees zimenichekesha🤸
😂Natumaini mwanako pia amerithiMkwe....
Kama kuna kitu napenda bhasi ni hiyo
Joanna anaiita twilight glory
Hope you know vileeeee
Hehehe😂Natumaini mwanako pia amerithi
Tumekutana wavivu wawili!Hehehe
Huyo mvivu flan hivi
Inabidi umchangamshe achangamke..