πππIpi unatak my WiiSaint Anne na Aaliyyah njooni muweke zile taarabu leo nimeamka na mood ya uswazi π€£π€£π€£
Ya Isha mashauzi wii πππππIpi unatak my Wii
Sema hii ya Leo itakuwa mbichi π€£π€£
Isha mashauzi sio mfatiliaji wa nyimbo zake nazijua baadhi tuYa Isha mashauzi wii ππ
Hii nyimbo naijua tangu nipo mdogo π€£π€£Bwana kapata wazimu, kashindwa kuvumilia
Kwangu akatia timu, tiba nikampatia π
Nikampa vitu adimu, kwako hajajionea
Amri akasalimu, na magoti kunipigia
Aaliyyah π€£π€£π€£
Iko kinyimbo pambe niliona Roma anakiimba
πππ nyimbo imekaa kiukorofi sana hiyo.ππIla Wii
Weka hizo hizo wii, leo tupate ladha ya mwambao wa Pwani π»Isha mashauzi sio mfatiliaji wa nyimbo zake nazijua baadhi tu
Km asiyekujua hakuthamini
Sudi sudini
Sikuhiz ukijaribu hii unarogwa ππππ nyimbo imekaa kiukorofi sana hiyo.
Yani amechukua mume wa mwenzie halafu anamvimbia
Treeeenaah.!! πHii nyimbo naijua tangu nipo mdogo π€£π€£
"Amri akasalimu,magoti kunipigia
Huku akijiliaumu,kwako kapotea njia
Sio unakodiwa wabakaji πππSikuhiz ukijaribu hii unarogwa π
Kwakweli πSio unakodiwa wabakaji πππ
Tusubiri mwanahawa day my Wii ni vibe tu mambo yaTreeeenaah.!! π
Hivi siku km ya leo wapi wanapiga taarabu niende π€£π€£π€£
Haki leo nna vibe la kwenda kucheza taarabu, twende wii
π€£π€£π€£ Ubuyu sina bana nna vibe tu.Leo una nn utupe tu huo ubuyu yaishe π€£π€£π€£
Lini? Em nipange wiiTusubiri mwanahawa day my Wii ni vibe tu mambo ya
Usimwone kakonda ukadhani hali
Namlisha wali na nyama kilo mbili
Bwana kapata wazimu, kashindwa kuvumilia
Kwangu akatia timu, tiba nikampatia π
Nikampa vitu adimu, kwako hajajionea
Amri akasalimu, na magoti kunipigia
Aaliyyah π€£π€£π€£
Iko kinyimbo pambe niliona Roma anakiimba
Oyoooooo.!! Mambo hayo π»
Mambo πOyoooooo.!! Mambo hayo π»
Mama kaimba nyimbo hiyo, yani unabebewa mume βkibabeβ na huna unafanya dadeq
Wapi dada kipipa weeeehh π€£π€£π€£