Mention someone without any reason just to disturb them

Njoo sweetheart tublokiane kidogo alafu usiku wa maneno tuna unblokiana na kuulizana hivi umenuna kweli...
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜Š kumbe unafurahiaga eeh πŸ₯°
Au nikublock na mpaka naja ku unblock we hujajua 🀣
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜Š kumbe unafurahiaga eeh πŸ₯°
Au nikublock na mpaka naja ku unblock we hujajua 🀣
Ukini block hata hua sijuagi mpaka useme mwenyewe ulini block...

Sina dharau ila ndivyo nilivyo...
Hahahah...
 
Ukini block hata hua sijuagi mpaka useme mwenyewe ulini block...

Sina dharau ila ndivyo nilivyo...
Hahahah...
Ile siku ni sababu ulikuwa busy mnoβ€¦πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni kweli hauna dharau, ila pia ulivyo ni wajijua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…