Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Miss u 🤩
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss u 🤩
Kwa Yesu...Mambo?
Sana... Nakuja tena huko soon... 😜😁😁 umenimiss au
Hata daily fresh isipokuwa nikenda juaniSawa nakualika kwenye maombi kwangu, mida kuanzia saa mbili usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi...
Upo tayari...
Ndicho nipendacho,nadhani mpaka hapo mbingu nimeikosa 😉Ukiachwa kuwaza kudinywa popote pale utakua umeokoka...
Sawa Kila siku karibu kwenye ya uokovu midaa ndiyo hiyo ya usiku, tuchoshane vizuri...Hata daily fresh isipokuwa nikenda juani
Una mbingu yako hapa hapa duniani...Ndicho nipendacho,nadhani mpaka hapo mbingu nimeikosa 😉
Naweza kukuambia kituUna mbingu yako hapa hapa duniani...
Niambie bila kuuliza...Naweza kukuambia kitu
Hakika hakuna saa nitapotezaSawa Kila siku karibu kwenye ya uokovu midaa ndiyo hiyo ya usiku, tuchoshane vizuri...
😶nimeshindwa kuandika aiseee....Kwa wengine sijawahi sita kuwatamkia but kwako nashindwa ....😏 Nahisi wewe ndo sikupendi kweli eti....😠Niambie bila kuuliza...
Hizo ni challenge za moyo...😶nimeshindwa kuandika aiseee....Kwa wengine sijawahi sita kuwatamkia but kwako nashindwa ....😏 Nahisi wewe ndo sikupendi kweli eti....😠
Kwaheri 🙌Hizo ni challenge za moyo...
Inakupasa uzikabili...
Tema nyongo acha ubibi...