Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Njoo sweetheart tublokiane kidogo alafu usiku wa maneno tuna unblokiana na kuulizana hivi umenuna kweli...
😅😅😊 kumbe unafurahiaga eeh 🥰
Au nikublock na mpaka naja ku unblock we hujajua 🤣
 
😅😅😊 kumbe unafurahiaga eeh 🥰
Au nikublock na mpaka naja ku unblock we hujajua 🤣
Ukini block hata hua sijuagi mpaka useme mwenyewe ulini block...

Sina dharau ila ndivyo nilivyo...
Hahahah...
 
Ukini block hata hua sijuagi mpaka useme mwenyewe ulini block...

Sina dharau ila ndivyo nilivyo...
Hahahah...
Ile siku ni sababu ulikuwa busy mno…😂😂😂
Ni kweli hauna dharau, ila pia ulivyo ni wajijua mwenyewe
 
Depal njoo tumalizane...

bc2927f61d5149308aff469b57bced86.jpg
 
Back
Top Bottom