Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hakukua na maegesho mbona...🤔Hapana siamini....lazima Kuna sehemu uliegesha😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakukua na maegesho mbona...🤔Hapana siamini....lazima Kuna sehemu uliegesha😜
Sawa bhana😉Hakukua na maegesho mbona...
🤝❤️kuwa na amani...
View attachment 2316254
😳Mungu wangu! Ndo vinini Ivo😱...si bora ungepika wali mweupe🚴🚴🚴(nimezoea mtori wa ndiz Mimi,najua utacheka sana🤣🤣🤣🤸🤸) Mwanangu angeona hili pishi,huwa kana tabia ya kushangaa Kwa kusema "mama yangu!!"Depal , to yeye , Evelyn Salt shemeji yangu, mawardat karibuni kama jasho la Smart911 linalika lakini...
View attachment 2316967
Karibu... Hapo Kuna nyama ya kuku, nyama ya ng'ombe, nyama ya mbuzi, na biriyani za aina tatu na pilau, kuchanganywa pamoja...😳Mungu wangu! Ndo vinini Ivo😱...si bora ungepika wali mweupe🚴🚴🚴(nimezoea mtori wa ndiz Mimi,najua utacheka sana🤣🤣🤣🤸🤸) Mwanangu angeona hili pishi,huwa kana tabia ya kushangaa Kwa kusema "mama yangu!!"
Shemeji naomba ushee locationDepal , to yeye , Evelyn Salt shemeji yangu, mawardat karibuni kama jasho la Smart911 linalika lakini...
View attachment 2316967
Nimekumiss my boss lady!Now I'm disturbed 🙃🙃
Mbona nipo nimejaa tele 😊Nimekumiss my boss lady!
Abeeeeeeh!!!!
Khaaaaaaah ilikuaje hapa??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brian Spilner unatupia??? Nataka nitoke nikatafute mboga [emoji6][emoji6]!!