Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Yaani saulimeti ndiyo nilikua natype nikutag ujue, ila hii title ya uzi inafurahisha "just to disturb them"[emoji3]
Jisikie huru kunidistabu wakati wo wote soulimeti wala usijali...

Uwe na wikiendi njema na iliyobarikiwa kwako pamoja na wapendwa wako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Jisikie huru kunidistabu wakati wo wote soulimeti wala usijali...

Uwe na wikiendi njema na iliyobarikiwa kwako pamoja na wapendwa wako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen and thank you Soulmate, weekend njema pia

Ila hii ruhusa hii, ntakuwa nakudistabu usijejuta tuu😀
 
Amen and thank you Soulmate, weekend njema pia

Ila hii ruhusa hii, ntakuwa nakudistabu usijejuta tuu[emoji3]
Jisikie huru kabisa kunidistabu soulimeti. Roho zetu zimeshonanishwa kimalimwengu na kinachokudistabu wewe ni lazima kitanidistabu na mimi pia. Na kwa vile kinatudistabu wote katika kiwango cha roho na urazini, basi kunidistabu kwako ni faraja kubwa sana kwangu [emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ngoja wengine tusiseme mpendwa ila Mungu Anakutumia kwa namna ya ajabu sana. Wewe waweza kudhani kuwa ni vitu vidogo tu unavyofanya lakini katika dunia hii ya sasa iliyojaa vurugu hii, neno moja lenye mwongozo huishi linaweza kubadili maisha ya mtu kabisa. Endelea kutusaidia na kamwe usichoke. Taji lako utalikuta [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
👏👏👏👏...madame huwa ananibariki mno na michango yake jukwaani..Mungu azidi kumtetea kila itwapo leo..
 
Back
Top Bottom