Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😅😅😅 vidole vimejifanya,, ila moyo ulimtajaNdo maana kwenye kumtaja crush nimejifanya sijamwona🤨
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅 vidole vimejifanya,, ila moyo ulimtajaNdo maana kwenye kumtaja crush nimejifanya sijamwona🤨
Deleted comment 🤪Unataka unifanye nn tena😳
Nimeona nifute aisee,na ukiwaki wangu but namwogopa kama ndo kanioa😏.....afu sijui nina nn Mimi *****🙄Deleted comment 🤪
Nimeona.. kabla sijajibu simu ikaita 😅😅 nimemaliza kuongea narudi hapa haipo tena..Nimeona nifute aisee,na ukiwaki wangu but namwogopa kama ndo kanioa😏.....afu sijui nina nn Mimi *****🙄
Fanya faster faster...Ngoja nikaangalie..
Hujamuona nani? Crush wako au? Nenda kamtaje acha uwoga...Ndo maana kwenye kumtaja crush nimejifanya sijamwona🤨
Mtaje bhana...Nimeona nifute aisee,na ukiwaki wangu but namwogopa kama ndo kanioa😏.....afu sijui nina nn Mimi *****🙄
Hahaha Cha utundu una mambo mengi sana...Waaaaaaa
Nitakujibu Pm 😂😂😂
😁😁 muongozo gani tena?
Nimefanyaje jamani 🤣🙈🙈Hahaha Cha utundu una mambo mengi sana...
Tulia..Mtasababishiana nini tena??
Wako real,wanaonekana watulivu Wana mengi ya hatari☹️
Yupo, yuko Dom kikazi. Hata humu yupo, ila sasa kaja kivingine 😃😃. Ningetoa hint, ila policies za jf zinazuia.BAK where are you
Tell him to call me please.Yupo, yuko Dom kikazi. Hata humu yupo, ila sasa kaja kivingine 😃😃. Ningetoa hint, ila policies za jf zinazuia.