Mention someone without any reason just to disturb them

Ee bhana!!! Kweli aisee🤔 sijui unatumiaga nn.....afu huna maneno mengi afu unatukulajee.😉I always call you a SILENT KILLER 🤸🤸🙌
Hahaha akili yako haina akili... Naomba uwe unanipigisha kisomo cha elimu ya watu wazima mida ya jioni...
 
Akili yako naitaka ndiyo maana sitaki uivue... maana ukiivua hutaondoka...
Hivi unajua nakuvuta tu hapa ukijaa huchomoki sichomoki......mi nikimpenda mtu mapungufu yake siyaoni naonaga mazuri yote so usidhani ukijichomeka hapa utasepa☺️...onhoo.....I warn you mapema tu😔
 
Hahaha nacheka kwa dharau... 😀 😀

Hua sijai kwenye kimi na nane... ila wewe naweza kukuweka kwenye kumi na nane muda wowote ni nikikweka kwenye rada zangu, huchomoki wala huchomoi... hahahaha endelea kujiamini...

Wapenzi wako wote utawapiga chini...
 
😳embu twende taratibu,please taratiiibu.Tusiandikie mate.........easy,easyyyy😋
 
Back
Top Bottom