Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Uvivu eeh ninao jirani, tena sana tu.Jirani wewe ni kavivu...
Sasa mimi sii nitakuwepo, ukichoka nakuchokea...
Ndivyo nilivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvivu eeh ninao jirani, tena sana tu.Jirani wewe ni kavivu...
Sasa mimi sii nitakuwepo, ukichoka nakuchokea...
Nitakuchangamsha Jirani...Uvivu eeh ninao jirani, tena sana tu.
Ndivyo nilivyo
Umalize nakusubiri hapa 🤣🤣🤣😂😂😂😂 waiiiiit
Ngoja kwanza nimalizane na mjini
Utanichangamsha na nini jirani, Mo energy auNitakuchangamsha Jirani...
Ondoa hofu... Aste Aste...
Hadi saivi hujaamini tu sidanganyiki?Embu fungua pm nione kama kweli hudanganyiki...
Niko pm usinichosheee 😂😂😂Umalize nakusubiri hapa 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Niko pm usinichosheee 😂😂😂
Fungua pm nikuambie nakuchangamasha na nini...Utanichangamsha na nini jirani, Mo energy au
Njoo uniaminishie pm, ndiyo nitaamini...Hadi saivi hujaamini tu sidanganyiki?
Pm sifunguiFungua pm nikuambie nakuchangamasha na nini...
Hapana jiraniNjoo uniaminishie pm, ndiyo nitaamini...
Unapata sana dhambi...Pm sifungui
HahahaaaUnapata sana dhambi...
Na ni dhambi kubwa sana kuninyimia vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wako...
Jirani, wanasema haki haiombwi, nisije nikavunja pm yako Kwa nguvu...Hapana jirani
Kwamba una haki kuja pm kwangu? Nani kasemaJirani, wanasema haki haiombwi, nisije nikavunja pm yako Kwa nguvu...
Tuonane hapo parking kwenu tule wote Jirani....Hahahaaa
Jirani me nna njaa naenda kula
Sawa, utanikuta nakusubiria jiraniTuonane hapo parking kwenu tule wote Jirani....