Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😂😂😂 leo nakutumiaNasubiri namba za yule kijana ndio tuongeleshane vizuri😒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 leo nakutumiaNasubiri namba za yule kijana ndio tuongeleshane vizuri😒
Plans gani😂Nina plans na baba zao 😂😂😂
Kuwaunga gridi ya Taifa 😂😂Plans gani😂
Kazi yako kula Shubiri tuNakunywa ila tatizo kushiba sishibi sijui kwanini
Shubiri yanikausha mwili, nguo zanipwaya nahitaji msaada wa haraka
🤣🤣🤣🤣Kuwaunga gridi ya Taifa 😂😂
Nitafutie virutubisho bana, hata mimi napenda niwe na nyama nyama😂Kazi yako kula Shubiri tu
Lazima unyauke 😂😂😂
Who cares?🤣🤣🤣🤣
Si utawaua watoto wabaki yatima, wahurumie jamani
Na kujipatia pia hujui 😂😂Nitafutie virutubisho bana, hata mimi napenda niwe na nyama nyama😂
Nguo zinikae
Mjini watu wengi naogopa Corona 🤣🤣🤣Na kujipatia pia hujui 😂😂
Sijui tukulete mjini .. shida unakaa majanini, fanya utoke kwanza
Tukutumie nauli upeleke kikoba 😂🚮Mjini watu wengi naogopa Corona 🤣🤣🤣
Nitumieko nauli basi nije weekend hii nije kuosha macho na kusagula😂
Na ninavyodaiwa kikoba, mkituma mmeisha 🤣Tukutumie nauli upeleke kikoba 😂🚮
Mwalimu na madeni sikushangaiNa ninavyodaiwa kikoba, mkituma mmeisha 🤣
Spirit ya madeni iko damuni, niache 🤣🤣🤣Mwalimu na madeni sikushangai
Em kwenda kwanza 🤣🤸♂️
Nakuweka kwa maombi 😂😂 maana unasikitisha sanaSpirit ya madeni iko damuni, niache 🤣🤣🤣