Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Happy New Year my pipo
Nimewamiss mno
Mahondaw cocastic Missy Gf Joannah Tayana-wog binti kiziwi Zulu man Ms eyes Dr Lizzy mshamba_hachekwi raraa reree Omulasil Mpaji Mungu Half american Unique Flower Tlaatlaah Rabbitus Saint Anne Dejane Shunie Mjep Mshana Jr Glenn Leejay49 na wengine niliowasahau wote All members
Haya kabla ya yote wale wa uzi wa mafoto vipi?!! Mbona naingia nakuta uzi umefungiwa tena?!!! Kwan kilitokea nini wapendwa?
Hebu nipeni samarre kwanza 🥺
Mi nishakuja na li album langu la mifoto ya holiday na baby wangu nakuta mauzauza..!!
Nini kimetokea??
huu hapa uzi;

kaweke picha nikukumbuke
 
huu hapa uzi;

kaweke picha nikukumbuke
Una uhakika wanawake wa Miongozo hawapo uko? Sitaki baadae uzi ufungwe na picha nikiwa sija delete km ule wa mwanzo 🤣🤣🤣
 
Mambo yake tumuachie mwenyewe uduguuu hahahaa

cc Smart911
Hatumuachii 🤣🤣🤣
Tuko naye sambamba mpk kila mtu ajue nafasi yake, bi mkubwa nani na bibi wadogo na michepuko nani?!

Ila udugu unaringa ss hivi na hizo Cc zenu, MTAACHANA alisikika dog master 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Naachaje kuringa kwa mfano na najua hadi password zake💃!

Ukishajua ukahitaji kufahamu mengi zaidi nicheki kwa namba ile ileeee

Afu uache ukorofi udugu unanichora tu hapa mfyuuu !

Hayanaga fomula kuachana kawaida sana mbona . Dog anahahajeee!

Uduguuu unapenda umbea kuliko hata kula 🤠 🙌🙌🙌
 
Naachaje kuringa kwa mfano na najua hadi password yake ya jf💃!

Ukishajua ukahitaji kufahamu mengi zaidi nicheki kwa namba ile ileeee pas

Afu uache ukorofi udugu unanichora tu hapa mfyuuu !

Hayanaga fomula kuachana kawaida sana mbona . Dog anahahajeee!

Uduguuu unapenda umbea kuliko hata kula 🤠 🙌🙌🙌
Ntakupigia udugu unipe ubuyu vzr 🤣🤣🤣
Mi kuacha umbea mpk nife
 
Back
Top Bottom