Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Acha umbea chale ππππNani huyoooo πππ€£π€£π€£
Nenda kaselfike hebu uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha umbea chale ππππNani huyoooo πππ€£π€£π€£
π€£ππAcha umbea chale ππππ
Nenda kaselfike hebu uko
Not a big deal as that πππππ binti whaaaaaaaaaatttt!!!!!
Aiseee!! Kuna mmoja kashaharibu huko kaenda na id mpya halafu kajiselfie na picha yake ya zamani nimechekaβ¦. Wananzengo wamemshtukia ππππ
Hivi kuna watu kumbe hawawezi kuishi bila uzi wa selfika?? Mi wamenipiga ban ya kuchangia ila manjegeka nayaona vzrβ¦.
ππππ una jipya? Au yale yale ya enzi za Magufuli?
Wifi VAR yangu imekukamata ππππNot a big deal as that π
Utabet sana π€£Kua na adabu huyo ni dada yangu from Njiro kwa Msolwa na uhasibu au Pillars kuleee
kwahiyo nina uniqueness ya aina yake raraa reree π Maana ile picha nilipiga siku ile ile. Haikuwa from gallery.Wifi VAR yangu imekukamata ππππ
Ila mecheka aiseee!! Hivi wamekupiga ban na ww??
Mguu umekuponza πππkwahiyo nina uniqueness ya aina yake @raraa rereeπ€£ ? Maana ile picha nilipiga siku ile ile. Haikuwa from gallery.
Ban ambalo hata halinihusu. Kugombaba mgombane nyie, ila ban mpk wapambe π
Na ban haina uplifted date,Maana yake ni foreva sijui. Atakuwa Sele amereport, maana wengine waliobaki wambea, vile vitu ndio vitu vyao. Hawawezi choma kijijiMguu umekuponza πππ
Kuna watu wenye nongwa naona wamepeleka list ambao hatutakiwi kuwepo mle.!!
Nyie wenyewe mligombana siku ile ukafungwa, itakuwa wameangalia chain ya wakorofi wote ndio hivyoβ¦. Tumelala yoooo!! π€£π€£π€£π€£
ππππ Ww utakosa pesa ya matumizi ujue!! Unamuitaje mumeo Sele π€£π€£π€£Na ban haina uplifted date,Maana yake ni foreva sijui. Atakuwa Sele amereport, maana wengine waliobaki wambea, vile vitu ndio vitu vyao. Hawawezi choma kijiji
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππ Asije kutuomba vocha bana, umemchunguza vzr lakini bina??
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππππππππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππ binti whaaaaaaaaaatttt!!!!!
Aiseee!! Kuna mmoja kashaharibu huko kaenda na id mpya halafu kajiselfie na picha yake ya zamani nimechekaβ¦. Wananzengo wamemshtukia ππππ
Hivi kuna watu kumbe hawawezi kuishi bila uzi wa selfika?? Mi wamenipiga ban ya kuchangia ila manjegeka nayaona vzrβ¦.
Ndio narudi home sasa kutoka kaziniNdio myππππ
π€£π€£π€£ ila we dada weweππΏ ....tuhekaheka unatupenda kweliπ₯΄πππ hana jeuri hiyo anakupenda sana huyo, bina halafu uzi wa selfika umerudi π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£ππΏππππ binti whaaaaaaaaaatttt!!!!!
Aiseee!! Kuna mmoja kashaharibu huko kaenda na id mpya halafu kajiselfie na picha yake ya zamani nimechekaβ¦. Wananzengo wamemshtukia ππππ
Hivi kuna watu kumbe hawawezi kuishi bila uzi wa selfika?? Mi wamenipiga ban ya kuchangia ila manjegeka nayaona vzrβ¦.
ππππ Mi nipo humu kufurahi tyuu!!π€£π€£π€£ ila we dada weweππΏ ....tuhekaheka unatupenda kweliπ₯΄
Ule uzi unakufaa aisee,sema wanajisahau tu kujianika kilakitu kwako afu wanakutibua tena.Jitahidi kupuuzia baadhi ya vitu unavyosikia umesnitchiwa na marafiki....hapo utakuwa umewin Kabisa.....mwanzoni mie nilikuwa sikuelewi Kabisa lakini kupitia comments zako nikajua wewe ni mtu wa namna gani na uchukuliwejeππππ Mi nipo humu kufurahi tyuu!!
Ndiomana sina adui wa kudumu, naweza tukachambana baadae nikakukuta sehemu ina hekaheka umenichekesha nacheka vzrβ¦!!
Sinaga bifu na fake idβs ambazo hata sijui zinafananaje π€£π€£π€£π€£
Napenda hekaheka na umbea kuliko kula
Humu mi napachukulia sehemu ya kuburudika ila sio ndio unitibue nikuache wee nakula sahani moja na wewe!! ππππUle uzi unakufaa aisee,sema wanajisahau tu kujianika kilakitu kwako afu wanakutibua tena.Jitahidi kupuuzia baadhi ya vitu unavyosikia umesnitchiwa na marafiki....hapo utakuwa umewin Kabisa.....mwanzoni mie nilikuwa sikuelewi Kabisa lakini kupitia comments zako nikajua wewe ni mtu wa namna gani na uchukuliweje
Weeeh!!Kasikilize na feel ya davido ni [emoji91][emoji91]