Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Haha wazungu wa roho wapo,, ni vile unakuta rafiki yako ana rafiki yake ambaye we sio rafiki yako. Hapo mtu akiwa hana utimamu lazima viumane 🤣🤣🤣 ila unaonekana we ndio ulianza kumchachua
😂😂😂😂 Sehemu yenye fake id’s usitegemee kupata rafiki wa kweli..!!
Humu rafiki yako akiogopa kukwambia ukweli anakwambia kwa id nyingine sasa ndio nini??
Halafu urafiki wa humu ni wa kunafikiana sana!! Ukiona siri zako nyingi zinatoka bila kujua ujue rafiki yako anazitoa.
Sema mimi nikimpenda mtu nampenda kweli sio kinafiki, ila akizingua ndio sielewiii!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sehemu yenye fake id’s usitegemee kupata rafiki wa kweli..!!
Humu rafiki yako akiogopa kukwambia ukweli anakwambia kwa id nyingine sasa ndio nini??
Halafu urafiki wa humu ni wa kunafikiana sana!! Ukiona siri zako nyingi zinatoka bila kujua ujue rafiki yako anazitoa.
Sema mimi nikimpenda mtu nampenda kweli sio kinafiki, ila akizingua ndio sielewiii!!!
 
Haha wazungu wa roho wapo,, ni vile unakuta rafiki yako ana rafiki yake ambaye we sio rafiki yako. Hapo mtu akiwa hana utimamu lazima viumane [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila unaonekana we ndio ulianza kumchachua

Kweli marafiki wapo humu tena wazuri mnoooo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na watu ss hivi wametega kweli tugombane na coca, kitu ambacho hawakijui sisi wote hatupendi unafiki hivo kugombana ngumu..!!

Halafu coca bwana mtu mmoja hivi hata akinuna ni hapo hapo mkionana kesho kama hakijatokea kitu na vicheko vyake atakuja makapuku nimewamiss jamaniii [emoji1787] hata kama jana alipewa maneno ya kutusema ana akachangia me nampenda tu
 
Haha wazungu wa roho wapo,, ni vile unakuta rafiki yako ana rafiki yake ambaye we sio rafiki yako. Hapo mtu akiwa hana utimamu lazima viumane 🤣🤣🤣 ila unaonekana we ndio ulianza kumchachua
Hao wazungu labda huko nje sio humu 🤣🤣🤣
Udugu sijaanza kumchachua ila kuna id ilikuwa inanipiga jungu na ina mwandiko km wa udugu ndio nikaanza kufanya uchunguzi nikagundua kitu.. ila tuache bana udugu wangu tulishamalizana ss hivi tuko poa
 
Halafu coca bwana mtu mmoja hivi hata akinuna ni hapo hapo mkionana kesho kama hakijatokea kitu na vicheko vyake atakuja makapuku nimewamiss jamaniii [emoji1787] hata kama jana alipewa maneno ya kutusema ana akachangia me nampenda tu
Yule udugu wangu hana baya 😂😂😂😂
Tatizo humu hii tabia ya kudate watu na mkashare ndio inaleta bifu lisiloisha dada..!!
 
Yule udugu wangu hana baya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo humu hii tabia ya kudate watu na mkashare ndio inaleta bifu lisiloisha dada..!!

Sasa kwa nini ilete bifu na kila mtu ameshapita na zama zake [emoji1787][emoji1787] huo ni ujinga mdogo wangu
 
Sasa kwa nini ilete bifu na kila mtu ameshapita na zama zake [emoji1787][emoji1787] huo ni ujinga mdogo wangu
Tatizo kumove on ndio tatizo kubwa 😂😂😂
Unakuta ww show hujaielewa ila mwingine kaielewa..!!
Mimi nikigundua mwanaume mwingi ni kumchuna mpk akili imkae sawa!! Yani naomba pesa mpk yy mwenyewe atanikimbia 🤣🤣🤣
 
Tatizo kumove on ndio tatizo kubwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuta ww show hujaielewa ila mwingine kaielewa..!!
Mimi nikigundua mwanaume mwingi ni kumchuna mpk akili imkae sawa!! Yani naomba pesa mpk yy mwenyewe atanikimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aloooh [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom