Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Sehemu yenye fake id’s usitegemee kupata rafiki wa kweli..!!
Humu rafiki yako akiogopa kukwambia ukweli anakwambia kwa id nyingine sasa ndio nini??
Halafu urafiki wa humu ni wa kunafikiana sana!! Ukiona siri zako nyingi zinatoka bila kujua ujue rafiki yako anazitoa.
Sema mimi nikimpenda mtu nampenda kweli sio kinafiki, ila akizingua ndio sielewiii!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sehemu yenye fake id’s usitegemee kupata rafiki wa kweli..!!
Humu rafiki yako akiogopa kukwambia ukweli anakwambia kwa id nyingine sasa ndio nini??
Halafu urafiki wa humu ni wa kunafikiana sana!! Ukiona siri zako nyingi zinatoka bila kujua ujue rafiki yako anazitoa.
Sema mimi nikimpenda mtu nampenda kweli sio kinafiki, ila akizingua ndio sielewiii!!!
😂😂😂😂 Na watu ss hivi wametega kweli tugombane na coca, kitu ambacho hawakijui sisi wote hatupendi unafiki hivo kugombana ngumu..!!😂😂😂😂 hao wote sabufa
Wataambulia permanent ban ya huo uzi
Haha wazungu wa roho wapo,, ni vile unakuta rafiki yako ana rafiki yake ambaye we sio rafiki yako. Hapo mtu akiwa hana utimamu lazima viumane [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila unaonekana we ndio ulianza kumchachua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na watu ss hivi wametega kweli tugombane na coca, kitu ambacho hawakijui sisi wote hatupendi unafiki hivo kugombana ngumu..!!
Hao wazungu labda huko nje sio humu 🤣🤣🤣Haha wazungu wa roho wapo,, ni vile unakuta rafiki yako ana rafiki yake ambaye we sio rafiki yako. Hapo mtu akiwa hana utimamu lazima viumane 🤣🤣🤣 ila unaonekana we ndio ulianza kumchachua
Yule udugu wangu hana baya 😂😂😂😂Halafu coca bwana mtu mmoja hivi hata akinuna ni hapo hapo mkionana kesho kama hakijatokea kitu na vicheko vyake atakuja makapuku nimewamiss jamaniii [emoji1787] hata kama jana alipewa maneno ya kutusema ana akachangia me nampenda tu
😂😂😂 we nawe mpana wifi yanguZawadi yake utampa🤣🤣🤣?
Yule udugu wangu hana baya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo humu hii tabia ya kudate watu na mkashare ndio inaleta bifu lisiloisha dada..!!
Hakika. Mimi nakubali babe 😍Kweli marafiki wapo humu tena wazuri mnoooo
Hakika. Mimi nakubali babe [emoji7]
Tatizo kumove on ndio tatizo kubwa 😂😂😂Sasa kwa nini ilete bifu na kila mtu ameshapita na zama zake [emoji1787][emoji1787] huo ni ujinga mdogo wangu
Tatizo kumove on ndio tatizo kubwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuta ww show hujaielewa ila mwingine kaielewa..!!
Mimi nikigundua mwanaume mwingi ni kumchuna mpk akili imkae sawa!! Yani naomba pesa mpk yy mwenyewe atanikimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😆✅Sasa kwa nini ilete bifu na kila mtu ameshapita na zama zake [emoji1787][emoji1787] huo ni ujinga mdogo wangu
😂Tatizo kumove on ndio tatizo kubwa 😂😂😂
Unakuta ww show hujaielewa ila mwingine kaielewa..!!
Mimi nikigundua mwanaume mwingi ni kumchuna mpk akili imkae sawa!! Yani naomba pesa mpk yy mwenyewe atanikimbia 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 hao wote sabufa
Wataambulia permanent ban ya huo uzi
🤣🤣🤣 kumbeCoca hatuwezi kugombana sababu tunazinguanaga kwenye comments huku tunacheka kumbe ndo tunapeana makavu hapo 😂😂😂😂🤣
Ujue mimi sipendagi wanawake tugombane yaani🥺😂😂😂😂 Na watu ss hivi wametega kweli tugombane na coca, kitu ambacho hawakijui sisi wote hatupendi unafiki hivo kugombana ngumu..!!